Mahakama imeamuru bilionea wa Uturuki Elsek Osman na mwenzake Gokmen Sandikci kuzuiliwa kwa siku kumi na nne huku uchunguzi ukiendelea kuhusu madai ya kufadhili ugaidi.
KEMRI yaonya kuwa usugu wa dawa (antimicrobial resistance) ni tishio kubwa kwa utekelezaji wa mpango wa afya kwa wote, usalama wa afya ya taifa, maandalizi ya majanga ya kiafya.
Akizungumza jijini Mombasa, Nyoro amesema elimu ni nguzo kuu ya mustakabali wa taifa na lazima iwe ya bure, inayopatikana kwa urahisi na yenye kulindwa dhidi ya ushawishi wa kisiasa.
Kwa mujibu wa Daghar, serikali inatambua mchango mkubwa wa wasanii katika kukuza utamaduni, kutoa ajira kwa vijana na kuimarisha sekta ya ubunifu.
Kupitia mpango wa lishe shuleni unaotekelezwa bila malipo, zaidi ya watoto 12,000 wanaosoma katika vituo vya ECDE wananufaika na chakula cha kila siku.
Idara hiyo imesema kuwa sehemu kubwa ya nchi itashuhudia joto kali hadi mvua zitakapoanza mwezi Machi.
Uchambuzi mpya wa shirika hilo unaonesha kuwa takriban asilimia 37 ya visa vipya vya saratani vilivyoripotiwa mwaka 2022, sawa na visa milioni 7.1, vilihusishwa na sababu zinazoweza kuzuilika.
Vifo vya akina mama wajawazito vimepungua kwa kiasi kikubwa katika Kaunti ya Kisii, kufuatia utekelezaji wa mpango wa kuimarisha mfumo wa afya
Serikali ya Kitaifa imetenga shilingi bilioni mbili kwa fidia ya ardhi na shilingi milioni 838 kwa ajili ya kuhamisha wafanyabiashara, katika juhudi za kuharakisha ujenzi
Mahakama imeelezwa kuwa uchambuzi wa data za simu umebaini kile wachunguzi wanachokitaja kama mtandao wa mawasiliano uliopangwa kati ya Paul Mackenzie na kundi lake la usalama
Umoja wa Ulaya umetangaza euro milioni 63, sawa na takriban shilingi bilioni 9.7, kwa ajili ya msaada wa kibinadamu kusaidia jamii zilizo katika mazingira magumu Somalia.
Jeshi la Kitaifa la Somalia (SNAF) limeanzisha operesheni mpya katika eneo la Lower Shabelle, kusini mwa Somalia, ikilenga wanamgambo wa Al-Shabaab.
Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro amekosoa mpango wa uuzaji wa hisa kwa umma (IPO) wa Kampuni ya Kenya Pipeline (KPC), akidai kuwa haukuendeshwa kwa misingi ya soko
Meli ya Grande Florida Palermo, inayomilikiwa na kampuni ya Grimaldi Lines, imekuwa meli ya pili kubeba magari kugeuzwa kuelekea Bandari ya Lamu
Chama tawala cha UDA kimetetea jinsi serikali inavyoshughulikia kashfa inayodaiwa kuhusiana na ununuzi wa mafuta, kikishutumu wapinzani wa kisiasa kwa kutumia suala hilo
Mabaharia tisa raia wa Kenya wamekwama katika eneo la Kilwa, kusini mwa Tanzania, baada ya chombo chao cha uvuvi kukamatwa na mamlaka za Tanzania
Maafisa wakuu na wakufunzi katika taasisi za Mafunzo ya Ufundi na Ufundi Stadi (TVET) wameonywa vikali kufuatia kuibuka kwa madai ya unyanyasaji wa kingono dhidi ya wanafunzi.