×
App Icon
The Standard e-Paper
Informed Minds Prefer The Standard
★★★★ - on Play Store
Download Now

Patel Mulevu

Wakaazi wa Machakos wapinga mpango wa kugeuza bwawa la maji kuwa kituo cha magari

By Patel Mulevu   2026-01-22 12:03:34

Wakaazi hao wanasema bwawa hilo limekua lenye usaidizi mkubwa kwa jamii ya Tala kwa muda wa zaidi ya miaka 90 tangu lichimbwe.

Serikali imetangaza kaunti 14 kuwa miongoni mwa zilizoathirika zaidi na kiangazi

By Patel Mulevu   2026-02-12 11:36:40

Serikali imetangaza kaunti 14 kuwa miongoni mwa zilizoathirika zaidi na kiangazi kufuatia mvua chache iliyonyesha msimu uliopita.

Mabadiliko katika Elimu ya juu yaidhinishwa na Baraza la Mawaziri

By Patel Mulevu   2026-02-13 10:04:50

Mswada kuhusu mabadiliko katika sekta ya elimu ya juu humu nchini ambao umeidhinishwa na baraza la mawaziri huku ukisubiri hatma ya wabunge umeibua hisia mseto

Polisi katika eneo la Athi River wamewakamata washukiwa wawili wa genge la wezi

By Patel Mulevu   2026-02-13 12:36:33

Maafisa wa polisi katika eneo la Athi River, Kaunti ya Machakos, wamefanikiwa kukamata washukiwa wawili wanaoaminika kuwa wanachama wa genge lenye vijana 15

Wakazi wa Mbukoni wanufaika na Maktaba ya Kidijitali ya WITIA

By Patel Mulevu   2026-03-18 21:06:00

Wakazi wa kijiji cha Mbukoni wataanza kunufaika na mafunzo ya bure kuhusu huduma za mtandao baada ya uzinduzi wa ujenzi wa maktaba ya kisasa kutoa mafunzo ya kidijitali.

Kalonzo apoteza wabunge 10 katika ngome yake ya Ukambani

By Patel Mulevu   2026-04-14 14:37:00

Kinara wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka ametoa onyo kali kwa wanasiasa wanaokiuka msimamo wa chama, akisema wanajikatia tiketi ya kwenda nyumbani.

Waziri wa mazingira Barasa aagiza kufungwa kwa kampuni ya Shreeji Chemicals

By Patel Mulevu   2026-05-06 15:50:27

Waziri wa mazingira Deborah Barasa ameagiza kufungwa mara moja kwa kampuni ya Shreeji Chemicals Limited kwa kukiuka sheria za mamlaka ya usimamizi wa mazingira NEMA