Kinara wa chama cha Wiper, Kalonzo Musyoka ametoa onyo kali kwa wanasiasa wanaokiuka msimamo wa chama, akisema wanajikatia tiketi ya kwenda nyumbani.
Maafisa wa polisi katika eneo la Athi River, Kaunti ya Machakos, wamefanikiwa kukamata washukiwa wawili wanaoaminika kuwa wanachama wa genge lenye vijana 15
Mswada kuhusu mabadiliko katika sekta ya elimu ya juu humu nchini ambao umeidhinishwa na baraza la mawaziri huku ukisubiri hatma ya wabunge umeibua hisia mseto
Hata hivyo, hali ya ukame kuliko kawaida inatarajiwa katika maeneo ya pwani ya Kenya, hali inayohitaji tahadhari ya mapema kwa jamii na wadau wa sekta nyeti kama kilimo na maji.